PROACTIVE LAW ENFORCEMENT FOR SAFE COMMUNITY About

Our Story

PESACO is a non-profit, Non-Governmental Organization registered under the NGO Act N0. 24 of 2002 on 5th January 2021 and awarded a registration certificate No. 00NGO/R/1593. The organization is established mainly to advocate for law abiding society in Mainland Tanzania. In order to fulfil this function, PESACO subcategorized its objectives in areas inter alia raising awareness about road safety to road users, and enhance strategic research for prevention and reduction of crime. PESACO is established behind the justification that in the current modernized world, the functions of law enforcement can effectively be achieved and realized through public cooperation, legitimacy, and community acceptance. Also, the fact that the safety of the community requires promotion of a partnership-based and collaborative effort between the law enforcement institutions and the community. PESACO is therefore, committed to promote the “community-based approach” which emphasize proactive enforcement of law that invest much in education and public awareness rather than reactive enforcement of law that is based on coercion and use of force. We believe that public awareness and cooperation would increase the efficiency in identifying, preventing and solving problems of crime and the fear of crime. In this way PESACO as a community organization is a vital benchmark toward crime prevention and reduction in Mainland Tanzania. 

PESACO ni shirika lisilo la kiserikari lilisajiliwa chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikari (No. 24 ya mwaka 2002) na kupewa cheti cha usajili No. 00NGO/1593. Lengo kuu la PESACO ni kuhimiza jamii inayohiarika kufuata sheria bila shuruti. Ili kutimiza lengo hili, majukumu ya PESACO yamegawanyika katika maeneo tofauti ikiwemo kuongeza utambuzi na uelewa kuhusu usalama barabarani kwa watumiaji wa barabara, pamoja na kufanya tafiti za kimikakati ili kuzuia na kupunguza uhalifu. Maono ya shririka ni kufikia jamii salama inayohiarika kufuata sheria na kutoa ushirikiano kwa ajili ya usalama wake. Kwa upande mwingine kazi ya PESACO ni kutoa elimu ya utekelezaji wa sheria, kukuza na kupanua uelewa wa jamii ili kupunguza na kuzuia uhalifu Tanzania.


PESACO, imeanzishwa kwa kivuli cha falsafa ya kwamba katika jamii ya sasa majukumu ya utekelezaji wa sheria hayawezi kufanyika kiufanisi na kufanikiwa pasina utayari na ushirikiano wa jamii. Ukweli ni kwamba usalama wa jamii unahitaji uhimizaji wa ubia na juhudi za pamoja kati ya taasisi za usimamizi wa sheria na jamii. Hivyo basi PESACO imedhamiria kusimama kwenye mtazamo wa utekelezaji wa sheria unaoshirikisha jamii, na ambao unahimiza zaidi kwenye elimu na uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa sheria kuliko mtazamo unao amini katika kuchukua hatua baada ya kosa kutendeka. Ni dhahiri kua ni muhimu kuchukua hatua kabla ya kosa kutendeka. Tunaamini ya kuwa uelewa na ushirikishwaji wa jamii utaongeza ufanisi kwenye kutambua, kuzuia na kusuluhisha matitizo ya uhalifu na hofu ya uhalifu. Hivyo basi PESACO  kama shirika la kijamii ni mhimili muhimu katika kuzuia na kupunguza uhalifu Tanzania.

  

KIPAUMBELE CHETU CHA SASA

1.       Usalama barabarani

Usalama barabarani umesimama kwenye nguzo kuu tatu ambazo ni:-

A)    Ubora na uzima wa barabara (Engenering)

B)    Usimamizi wa sheria za barabara (Enforcement)

C)    Elimu ya usalama barabarani (Education)

Sisi kama PESACO tumejikita kwenye nguzo moja ya elimu ya usalama barabarani, na katika utoaji wa elimu tunalenga mambo makuu matatu(3) ambayo ni:-

i)                   Kukuza maarifa na uelewa wa sheria za barararani na mazingira yake

ii)                 Kuongeza ujuzi kupitia mafunzo na uzoefu

iii)               Kuimarisha na kusisitiza mitazamo chanya wakati wa kutafsiri mazingira hatarishi barabarani, kujilinda binafsi na kuwalinda watumiaji wengine wa barabara

Katika kufanikisha malengo hayo ya utoaji wa elimu ya usalama barabarani, PESACO tumedhamiria kutoa elimu hii kwa watumiaji wote sita wa barabara, amabo ni, watembea kwa miguu, madereva, abiria, wapanda baiskeli, wapanda pikipiki na wasukuma mikokoteni.

Majukumu yetu tunayatimiza kwa kuonana na wahusika ana kwa ana na kwa kutumia vitabu, vipeperushi, nakala na matangazo mbalimbali. Njia tunazotumia PESACO kutoa elimu ni:-

a)      Kufika kwenye shule za msingi na sekondari kwa lengo la kuwapa wanafunzi na walimu elimu, ujuzi na maarifa ya usalama barabarani.

b)      Kufika kwenye vituo vya bodaboda na bajaji na kutoa elimu ya usalama barabarani

c)      Kufika kwenye vituo vya mabasi na daladala kwa lengo la kutoa elimu kwa abiria pamoja na madereva

d)      Kufika ofisi za serikari na binafsi kwa lengo la kutoa vitabu, nakala na vipeperushi vya usalama barabarani

e)      Kuandaa mabonanza ya michezo kwa madereva wa bajaji na bodaboda kwa lengo la kuhimiza ushirikiano na umoja kati yao wenyewe na jamii inayowazunguka hasa kwenye swala la usalama barabarani

f)       Kuandaa, vitabu, nakala na vipeperushi vya usalama barabarani

g)      Kutumia mitandao ya kijamii  na vyombo vya habari

Kutumia tovuti ya PESACO  kutoa machapisho ya usalama barabari ikiwemo na tafiti za usalama barabarani.

SAMSUNG CSC

PESACO TEAM

EXECUTIVE COMMITTEE

1630922208710
Hassani H. Mfaume

CHAIRPERSON

Responsibilities

Preside at meetings of the Board 

Provide general guidelines related to the affairs of the organization; 

Provide leadership by supervising and managing staff, finances, and properties; 

Spokesperson in the organization matters related to policy and decisions making on behalf of the members.  

Perform such other duties as ordinarily pertain to this office.

77777777
Fransisco P. Tsii

EXECUTIVE SECRETARY

Responsibilities

Arrange schedule of duties in the office;

Receive all letters including application letters from new members and to submit them to the General Meeting for approval;

Keep all documents of the Organization;  

Keep records of all assets of the Organization;

999999999999
Lusianus N. Nicolaus

TRESURER

Responsibilities

Receive and keep all the money of the Organization;

Prepare the annual budget and estimates of the Organization to be presented to the General Meeting;

Prepare the financial records of assets, records of accounts and books of account;  

Prepare financial records of statements of income and expenditure and submit the said documents together with audited report to the General Meeting;

EEEEE
Abel B. Swai

PROJECT MANAGER

Responsibilities

   Chief organizer of the organization's projects, programs, and initiatives;

 Creative and propose better ways of implementing organization projects and programs.

IIIII
Singer P. Muga

RESEARCHER

Responsibilities

   Conduct research on new areas of interest including projects and programs that fall within parameters of the organization's objectives;

  Propose and promote the preparation and publication of the organization's research reports.